1 Chronicles 14:1

Nyumba Ya Daudi Na Jamaa Yake

(2 Samweli 5:11-16)

1 aBasi Hiramu mfalme wa Tiro akawatuma wajumbe kwa Daudi, wakiwa na magogo ya mierezi, waashi na maseremala ili kumjengea jumba la kifalme.
Copyright information for SwhNEN